Uncategorized
KILIMO BORA CHA CABBAGE(KABICHI)
By americas | | 0 Comments |
Kulima na kula kabichi hutoa faida kama lishe bora yenye vitamini C, K, . Kabichi inaimarisha kinga ya mwili, afya ya moyo, utumbo, na ngozi, inapunguza uzito, cholesterol, na hatari ya saratani. Kabichi pia husaidia afya ya mifupa na ubongo, kupunguza maumivu. Mada hii inaelezea njia bora ya kulima kabichi
MAGONJWA YA CARROT NA KINGA ZAKE
By americas | | 0 Comments |
Kilimo cha karoti hutoa faida za kiuchumi kutokana na soko lenye uhitaji mkubwa, mavuno ya haraka, na gharama nafuu za uzalishaji. Karoti ni chanzo bora cha lishe, hususan vitamini A.
KUVUNJA DORMANCY( UGUMU WA GANDA LA MBEGU) KWENYE MBEGU YA TIKITI
By americas | | 0 Comments |
Elimu ya namna ya kupanda mbegu ya tikiti na kupata germination ya asilimia 100%. Uoteshaji wa mbegu ya tikiti kwa namna hii kutaharakisha uotaji wa mbegu na ukuaji wa miche.Hii ni elimu ambayo ni vigumu kuipata sehemu nyingine.
Namna Bora ya Kupanda na Kutunza Miche ya Nyanya , hoho na Tikiti kwenye Kitalu (Seedtray):
By americas | | 0 Comments |
Kuwa na mbegu bora tu haitoshi kupata mafanikio shambani. Elimu sahihi ya kutunza mbegu ni muhimu sana kwenye kufanikisha malengo yako katika kilimo. Sisi tunakupa mbegu bora na pia elimu bora ya kilimo. Soma namna ya kutunza miche shambani.
Mangonjwa mbalimbali ya Tikitimaji
By americas | | 0 Comments |
Tikiti maji hukumbwa na magonjwa mbalimbali, ambayo yanaweza kusababisha kupungua kwa mavuno na ubora wa mazao. Magonjwa haya yanasababishwa na vimelea kama vile fungi, virusi, na bakteria.
Magonjwa Mbalimbali ya Nyanya(Tomato deseases)
By americas | | 0 Comments |
Ili mkulima wa nyanya afanikiwe hana budi kupambana na magonjwa mbalimbali yanayo shambulia nyanya. Tumekuonyesha aina mbalimbali ya magonjwa ya nyanya na namna ya kukukinga na kutibu.
Pembejeo za Kilimo
By americas | | 0 Comments |
Kitu cha kwanza cha kuwaza kama unataka kujihusisha na kilimo ni namna gani unaweza kupata pembejeo, wapi utapata na kwa garama gani. Pembejeo muhimu ni zana za kilimo, mbegu, mbolea na madawa ya wadudu. Soma zaidi kujua kuhusu pembejeo za kilimo hapa
Kilimo cha Vitunguu
By americas | | 0 Comments |
Kitunguu ni zao lenye uhitaji mkubwa duniani. Kila familia inahitaji kitunguu kwenye maandalizi ya mlo, hii inamaanisha mkulima wa kitunguu ana soko la uhakika. Kitunguu hubadilisha uchumi wa mkulima, kutokana na faida kubwa anayoweza kupata ndani ya msimu mmoja.
Kilimo cha tikiti maji
By americas | | 0 Comments |
Tikiti maji ni zao la tunda lenye faida kubwa kwa mkulima na pia faida kubwa kwa mlaji. Tikiti lina virutubisho muhimu vyenye umuhimu kwenye afya ya mlaji.
LinkedIn
Share
Instagram
Call us