Tikiti maji ni zao la tunda lenye faida kubwa kwa mkulima na pia faida kubwa kwa mlaji. Tikiti lina virutubisho muhimu vyenye umuhimu kwenye afya ya mlaji.
Nyanya ni zao lililowainua wengi kiuchumi. Ukizingatia misingi mizuri ya kulima na soko likiwa zuri, unakupa uwakika wa kupata kipatao kizuri chenye faida. Zingatia mbegu bora ya nyanya Kama Obama F1, itakupa mavuno ya uhakika