Kilimo bora cha karoti
Kilimo cha karoti hakihitaji gharama kubwa za pembejeo kama vile dawa za wadudu na mbolea kama mazao mengine, ingawa inahitaji umakini kwenye udhibiti wa magugu na umwagiliaji wa kutosha.Karoti inaweza kutoa faida kubwa kwa mkulima kutokana haihitaji pembejeo nyingi kama mazao mengine mfano Nyanya.