Kuwa na mbegu bora tu haitoshi kupata mafanikio shambani. Elimu sahihi ya kutunza mbegu ni muhimu sana kwenye kufanikisha malengo yako katika kilimo. Sisi tunakupa mbegu bora na pia elimu bora ya kilimo. Soma namna ya kutunza miche shambani.
Tikiti maji hukumbwa na magonjwa mbalimbali, ambayo yanaweza kusababisha kupungua kwa mavuno na ubora wa mazao. Magonjwa haya yanasababishwa na vimelea kama vile fungi, virusi, na bakteria.